Tamasha liliandaliwa na Msama Promotion na kumualika mwimbaji maarufu sana kutoka Afrika kusini na waimbaji mbalimbali kutoka Kenya na Tanzania na nchi zingine.

Rose Muhando akiingia uwanja kwaajili ya kazi ya Mungu huku akiwasalimu mashabiki wake.
Rose Muhando akiwa na Rebeca Malope, mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Afrika Kusini (wa tatu kutoka kulia)

Rose Muhando akiingia uwanja kwaajili ya kazi ya Mungu huku akiwasalimu mashabiki wake.

Rose Muhando akiwa na Rebeca Malope, mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Afrika Kusini (wa tatu kutoka kulia)

Rose akiwashirikisha mashabiki wake kuimba baada ya kushuka kutoka stejini
Rose Muhando akiwa anacheza na watoto baada ya kutoka stejini

Rose akiwa na kikundi chake cha dance akiujenge mwili wa Kristo kwa uimbaji

Rose akiwa na kikundi chake cha dance akiujenge mwili wa Kristo kwa uimbaji

Kazi ya Mungu ikifanyika stejini..Mungu alionekana katika ulimwengu wa Kiroho

UWANJA WA JAMHURI DODOMA

Rose akiwa stejini katika kuhakikisha ujumbe unawafikia mashabiki wake kwa njia ya uimbaji

Kujaa kwa watu namna hii kuna ashiria kuwa watu wanampenda Mungu, kwahiyo kama watumishi wa Mungu tunahitaji kuwalisha hawa kondoo chakula kitakatifu ili wafurahie wema wa Mungu.
Kutoka kushoto ni Rulea Sanga Mkurugenzi wa RUMAFRICA (www.rumaafrica.blogspot.com), Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Zambia Ephraim Sekeleti, Rose Muhando na Emmanuel Mabisa.
No comments:
Post a Comment