ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO SONG OF THE WEEK

Thursday, November 1, 2012

ROSE MUHANDO KUFUNGUA BLOGU

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufungua blogu yangu ambayo itakuwa inaelezea huduma ninazofanya katika kumtangaza Yesu Kristo. Baada ya kuwa kimia katika uwanja wa blogs, umefika muda wangu wa kumtangaza Yesu Kristo kwa njia mitandao.

Ndani ya blogu utapata kujua albamu zangu, tuzo mbalimbali nilizozawadiwa, Neno la Mungu, Ratiba zangu, Mwawsiliano yangu, shughuli zangu mbalimbali, na mambo mengi yanayomhusu Mungu.

Ninaomba kama mdau wangu na unayependa huduma ninazofanya, kila unapoingia katika mtandao, usishau kutembelea blogu yangu hii ili tutiane moyo katika kazi ya Mungu.

Mungu wangu akubariki

No comments:

Post a Comment

HABARI ZILIZOPITA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...