ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO SONG OF THE WEEK

HISTORIA YANGU [MY HISTORY]

KISWAHILI

ROSE MUHANDO
Kutoka Wikipedia
Amezaliwa 1976 katika kijiji cha Dumila, wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, Tanzania, Afrika Mashariki na ni mwimbaji wa nyimbo za injili kwa lugha ya Kiswahili

Rose Muhando kabla hajawa mkristo alikuwa Muislam na ni mama wa watoto watatu. Alimpokea Yesu Kristo pale alipokuwa anaumwa na yuko kitandani akiwa na umri wa miaka 9, aliugua kwa muda wa miaka mitatu, na baadae alipona na kubadili dini na kuwa Mkristo.

Rose alianza musiziki katika kwaya iliyoko Dodoma na alikuwa mwalimu wa Kwaya katika kwaya ya Dodoma St. Mary's katika kanisa la Kianglikana la Chimuli:

MAMBO YA KUANGALIA
Tarehe 31/01/2005, Rose Muhando alizawadiwa tuzo ya Mtunzi mzuri wa nyimbo, Mwimbaji Bora na albamu Bora ya Mwaka. Tuzo hizo zilitolewa katika tamasha Tanzania Gospel Music Awards, 2004

Desemba 2005 alihudhuria katika tamasha la Nyimbo za Injili katika kusaidia kuchangia kwa watoto wajane dar es Salaam.
Februari 2011, Rose Muhando alisaini Mult Album Recording Deal with sony Music. Kusaini huko kulitangazwa katika mkutano wa waandishi wa habari Dar es Salaam, Tanzania, mwezi Februari na hii in mara ya kwanza ktfanyika afrika Mashariki.
Baadhi ya albam za Rose Muhando ni:
1. Mteule uwe macho, 2004
2. Kitimutimu, 2005
3. Jipange sawasawa, 2008

TUZO ALIZOPATA

  • 2009 The Best Tanzanian Gospel Singer Awards: Rose Mhando; The Best Singer in Tanzania, awarded Tsh 200, 000 by Tanzania Broadcasting Corporation TBC under the Umbrella of her song called ‘Nibebe’
  • 2008 Kenya groove awards - best female gospel artist in Africa

-----------------------------------------------------------
ENGLISH


ROSE MUHANDO


From Wikipedia, the free encyclopedia

orphan|date=Februa Rose Muhando,born 1976 in Dumila village, Kilosa District, Morogoro Region, Tanzania, is a popular East African Swahili gospel artist.
Rose, a former devout Muslim and mother of three, claims to have seen a vision of Jesus Christ while indisposed on her sick bed at the age of nine,having suffered for three years, after which she was healed and later converted to Christianity.
She started her music career as a choir teacher in Dodoma's Saint Mary’s Choir for the Chimuli Anglican Church.

CONTENTS

ACCOMPLISHMENT

On January 31, 2005, Rose Muhando was awarded the best composer, best singer, and for the best album of the year during the Tanzania Gospel Music Award Concert, 2004.
In December 2005 she participated in a Gospel concert to help raise funds for a Daresalam children orphanage.
On Feb 2011 Rose Muhando signed multi album recording deal with Sony Music. The signing was announced at a press conference in Dar es Salaam, Tanzania, on February 9 and is the first deal of its kind for East Africa.
Some of her albums include:
1.Mteule Uwe Macho,2004
2.Kitimutimu,2005
3.Jipange Sawasawa,2008.[1][2]

AWARDS

Won

  • 2005 Tanzania Music Awards: Best Female Vocalist & Best Religious Song ("Mteule uwe macho") [3]
  • 2009 The Best Tanzanian Gospel Singer Awards: Rose Mhando; The Best Singer in Tanzania, awarded Tsh 200, 000 by Tanzania Broadcasting Corporation TBC under the Umbrella of her song called ‘Nibebe’
  • 2008 Kenya groove awards - best female gospel artist in Africa

REFERENCES

  1. ^ . 4.Nyota ya Ajabu,2010. 5.Utamu Wa Yesu,2011 "Rose Mhando steals show at Nane Nane". [1]. 2004-08-14. Retrieved 2007-05-12.
  2. ^ "Rose Mhando's Popularity Dilemma". [2]. 2005. Retrieved 2007-05-12.[dead link]
  3. ^ Tanzania Music Awards: 2005 Winners

EXTERNAL LINKS

No comments:

Post a Comment

HABARI ZILIZOPITA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...