ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO SONG OF THE WEEK

ALBAMU ZANGU [MY ALBUMS]








1 comment:

  1. BWANA WETU YESU KRISTO ASIFIWE SANA!!! Mimi naitwa Neema wa Arusha, namshukuru MUNGU kwani nyimbo zako zimenitia moyo kwani nilipatwa na jambo la ajabu baada ya kuanza maisha na mwanaume akiwa hana chochote na baada ya miaka mitatu MUNGU alimjalia akapata kazi na pia tukapata mtoto wa kiume ambaye nilimwomba MUNGU anijalie atakapokuwa mkubwa apende kuwa Mchungaji kulingana na mateso ambayo niliyapata kwa baba yake baada ya MUNGU kumpa kazi na akaniona sifai ikafika mahali akanipeleka mahakamani kwa ajili ya awara yake na akasema mimi nilimtishia kumwua. Namshukuru MUNGU kwani yule mwanaume alikuwa akinitishia na kuniambia "NINA HELA NAWEZA NIKAKUPELEKA POPOTE" Nilimwambia "SINA HELA NA SITAKUSEMEA JAMBO LOLOTE LA UONGO KWANI NENO LA MUNGU KWENYE KITABU CHA MALAKI 2:14-15, linasema "mtu asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiyana" ila naamini kwamba "MTETEZI WANGU YU HAI najua wakati wa MUNGU ukifika atatoa majibu kwa yote uliyonitendea. Siku ya hukumu mahakamani yule shahidi (ambaye ndiye yule awara yake) alipohojiwa maswali na hakimu alisema "KWANZA HUYU DADA MIMI SIMFAHAMU WALA SIJAWAHI KUMWONA KABISA" Hakimu na waliokuwa mahakamani walishangaa kwani aliambiwa "KAMA HUYU DADA HUJAWAHI KUMWONA MBONA UNASEMA ALIKUTISHIA KUKUUA? Akasema ilikuwa ni njia tu ya huyo mwanaume kutafuta jinsi ya kujitetea baada ya kugundua alilomfanyia huyo mwanamke siyo sahihi alipokumbuka kwamba ni aibu kwani huyu mke wake ana historia ya uvumilivu hata familia nzima ya huyu mwanaume inafahamu kwani huyu mwanamke alimpenda huyu mwanaume upendo wa dhati na alimpenda huyu mwanaume akiwa hana kitu chochote na hata vitu walivyoanzia maisha vilikuwa vya huyu mwanamke, chakushangaza huyu mwanaume alipopata tu hela ndipo akamtenda huyu mwanamke hayo yote. "HAPO NDIPO NILIJUA KUWA MTETEZI WANGU YU HAI KWANI YULE MWANAUME ALIHONGA HELA NYINGI KWA YULE HAKIMU ILI WANISINGIZIE MAKOSA ILA MUNGU WANGU ALISIMAMA KAMA MUNGU NA YALE YOTE WALIYOANDAA KUNITUNGIA, MUNGU WANGU ALISIMAMA NA AKAWA MTETEZI WANGU. AMEN!!!

    ReplyDelete

HABARI ZILIZOPITA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...