ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO SONG OF THE WEEK

Sunday, November 11, 2012

NAWASHUKURU WOTE KWA KUNIWEZESHA KUPATA TUZO KATIKA HUDUMA YANGU YA UIMBAJI

Namshukuru sana Mungu kwa wema wake wa kuniwezesha kumtumikia kwa njia ya uimbaji. Jamii imetambua kazi yangu na kuona ni vizuri kunipa tuzo hizi kwa utukufu wa Mungu. Naamini kila unapofanya vizuri Mungu anakubariki na unakuwa ni mtu unayeheshimika katika jamii na mbele za  Mungu wetu. Na hizi ni tuzo zangu ambazo nimezipata kutokana na wewe kuona mchango wako katika kazi yangu ya uimbaji. Mungu awabariki sana

TUZO ZANGU
2005 Tanzania Music Awards: Best Female Vocalist & Best Religious Song ("Mteule uwe macho") [3]
2009 The Best Tanzanian Gospel Singer Awards: Rose Mhando; The Best Singer in Tanzania, awarded Tsh 200, 000 by Tanzania Broadcasting Corporation TBC under the Umbrella of her song called ‘Nibebe’
2008 Kenya groove awards - best female gospel artist in Africa


Nawashukuruni sana Watanzania na afrika Mashariki kwa kuniwezesha kupata tuzo hii

Huu ni uweza wa Mungu, nawashukuruni wote kwa upendo wenu

Furaha imejengeka ndani ya moyo wangu, nimefarijika sana kuona leo nashika hizi tuzo. Mungu wangu azidi kuwawezesha kwa kila jambo kama alivyoniwezesha mimi kupata tuzo hii.

No comments:

Post a Comment

HABARI ZILIZOPITA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...