ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO SONG OF THE WEEK

Monday, November 12, 2012

MUNGU AMEKUWA MWEMA KWA KUNISAIDIA KUWA NA ALBAM ZANGU

Nimeuona mkono wa Mungu katika maisha yangu, Mungu amekuwa akinitetea katika huduma yangu ya uimbaji. Mungu amekuwa akiniwezesha katika kutunga nyimbo ambazo zimekuwa zikinifariji na kuniweka karibu sana na Mungu na pia natumaini na wewe umekuwa ukibarikiwa na huduma hii ya uimbaji. Ningeomba nikushirikisha katika kukujuza baadhi ya albamu nimefanya kwa uweza wa Mungu Baba

1. Mteule uwe macho, 2004
2. Kitimutimu, 2005
3. Jipange sawasawa, 2008.
4. Zawadi ya Krismasi
5.Utamu wa Yesu










No comments:

Post a Comment

HABARI ZILIZOPITA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...