ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO SONG OF THE WEEK

Monday, November 5, 2012

ROSE MUHANDO KATIKA VIWANJA VYA CCM MWANZA-APRILI 2011


Rose Muhando akisalimiana na mwimbaji wa nyimbo za injili Solomon Mukubwa

Kutoka kulia ni Solomon Mkubwa, Christina Shusho Rose Muhando na nyuma ni Faraja Ntaboba kutoka Kongo. Wote ni waimbaji wa nyimbo za injili


Rose Muhando akiwa na Christina Shusho (kushoto) wakiwa katika steji kwa kazi ya Mungu


Rose Muhando akiwa na Annastazi (kulia) wakimwimbia Mungu Mwanza

No comments:

Post a Comment

HABARI ZILIZOPITA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...