ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO HR BANNER

ROSE MUHANDO SONG OF THE WEEK

Thursday, January 17, 2013

ROSE MUHANDO SIJAFA KAMA MLIVYOSIKIA NA KUSOMA KATIKA MITANDAO

Poleni sana watu wa Mungu kwa kushtushwa na habari za uongo kuwa Rose Muhando amefariki dunia. Mimi ni mzima wa afya na ninaendelea na kazi ya Mungu. Na hivi sasa nipo Kigoma kwa kazi ya Mungu.


Rose Muhando bado ninaishi kwa uwezo wa Mungu

Nawasamehe hao wote walioyavumisha hayo maneno, maana kazi ya shetani ni kuhakikisha kazi ya Mungu inashuka na kudidimia, lakini sisi kama wafuasi wa Yesu tunahakikisha inainuliwa.

Rose Muhando
Kutoka kushoto ni Bahati Bukuku aliyezushiwa amefariki, Rose Muhando.

No comments:

Post a Comment

HABARI ZILIZOPITA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...