Pages

Sunday, November 18, 2012

TUNAOMBA RADHI UONGOZI WA KANISA LA KKKT-KIMARA NA WAUMINI WOTE


Leo Jumapili 18.11.2012 Rose Muhando angetakiwa kuwa katika kanisa la K.K.K.T Kimara lakini imeshindikana kutokana na sababu zisizozuilika. Tunawaomba radhi sana waumini na uongozi wa kanisa hilo. Mungu azidi kuwabariki na kudumu katika nyumba ya Bwana kwa kutenda yaliyo mema kwa Mungu



No comments:

Post a Comment